Monday, April 4, 2016

GOOD NEWS: kWA WAKAZI WA KURASINI MWIZI MAARAFU MKABAJI KIBWANA AFARIKI DUNIA BAADA YAKUPIGWA NA WANANCHI

MBWANA a.k.a. KIBWANA afariki dunia alfajiri ya kuamkia tarehe 5 nimtaalamu wakuiba kukaba na kuua ebwanaee mtaani wtu wana fanya sherehe kufa kwa huyu jamaa hatari nimtu wapili aliye waogopesha wananchi wengi baada ya marehemu Jongo kuwa mbabe walimfanyia kamahivi sasa leo wapo kwenye moto wa jahanamu KWAHERI KIBWANA hapo chini nimeweka baadhi ya picha zake.

No comments:

Post a Comment